Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 700,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIR-CONDITION
#CCCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING
โผ๏ธZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 700,000/= X 6
๐น๐ฟ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
๐ฅBILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530