Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Location: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri Bajaj 500
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba Viwili vya Kulala Kimoja Master
• Jiko Zuri
• Choo Kizuri Ndani
• Stoo
Apartment Zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment Inajitegemea UMEME LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343