Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment NZURI ya Kupanga 900K X6 PESA YA TAHADHARI MWEZI MMOJA UTALIPIA NA NYUMBA
Location: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri Bajaj 500 BODA BUKU
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule kubwa
โข Vyumba Viwili vya Kulala Kimoja Master
โข Jiko Zuri
โข Choo Kizuri Ndani LA UMEME
โข Stoo
.FULL A.C
.HEATER YA MAJI MOTO
Apartment Zipo 3 Ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment Inajitegemea UMEME LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 900,000 Malipo Miezi 6