Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X4)KIMARA MWISHO 2KM BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000\/= X 4
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA KIMOJAMA WAPOMASTER
#SEBULE
#JIKO KUBWA
❌CHOO CHA WAGENI HAKUNA
LUKU MITA INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NB;NYUMBA HAIPO NDANI YA FENCE IRAUSALAMA UPOSANA
💰BEI NI 250,000\/= X4
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 1000..BODABODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453