Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 270,000 × 6
>SEBULE KUBWA SANA
>VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
>CHUMBA KIMOJA MASTER
>JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
>PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI 🚻
>PARKING KUBWA SANA
>LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
>MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
>RESERVE TANKS
>FENCED
>FULL PAVING BLOCKS 🚫
📌INAYOPANGISHWA NI YA CHINI
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
📌
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp