Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU 0764575774
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET YA NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#PAVING
BEI NI 300,000/= X 3 KUENDELEA
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMITA 1.5
📌 ZIPO APARTMENT NNE KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA