Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑 Umbali wa kutoka standi ya mwendo kasi dakika 15 kwa mguu bodaboda 1000 Tu
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili, kimoja Master
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲Public Toilet
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Lisave tank
🌲Fensi & Parking Kubwa
👉 Zipo 4 kwenye compaund moja na hiyo moja ipo wazi
🔷Kodi Tsh 350, 000/= miezi 5,6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
0712528820
0685221354
Mr.