Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 600,000

(600,000X6)KIMARA BUCHA DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6

IMEBAKIA MOJA TUUU!!!

🌟SIFA ZAKE NI
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

📌 ULINZI UPO MASAA 24,,KIJANA WA GARDEN,,MTU WA USAFI NA MAZINGIRA VYOTE HIVYO NI BURE

BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI TATU TUU (300,000/= )

💫💫APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE Umbali wa Kilometer Moja Kutoka Kituo cha Mwendo...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000 per month

600,000 X6. DK 10STAND ALONE HOUSE KUBWA SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA MOROGOR...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

APARTMENT 2 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ---- Vyi...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT MPYAAA KABISA KIMARA TEMBONI KM 1 TOKA LAMI NJIA NZURI__Vyumba 2 vya kulala, kimoja master...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 70,000

NDUGU MTEJA SOMA MAELEZO KWA UMAKINI SANA APARTMENT ZIPO AINA 31: 70,000 SINGILE CHOO NJEE 3 UMEM...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

#WASWAILI WANASEMA CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SII WAKO. #KWA SASA KODI NI 150X3 AU 130X6 KAMILILO...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI KM 1KUTEMBEA KWA MIGUU NI ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000 per month

MASTER BEDROOM &JIKO NZURI YA KISASA INAPANGISWA #KODI KWA MWEZI 170,000 MALIPO NI MIEZI 6NYUMBA IPO...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 23/03/2026#SEBULE KUBWA...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000 per month

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1KUPELEKWA KUONA NYUMBA ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 280,000 per month

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA STOP OVER. ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, , M...

Nyumba ya vyumba vitano inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000 per month

600,000 X6. DK 10STAND ALONE HOUSE KUBWA SANA INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI KUTOKA MOROGOR...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI KM 1KUTEMBEA KWA MIGUU NI ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 280,000 per month

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA STOP OVER. *CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, , MAJI DAWASA YANA FLOW N...

Sh. 130,000 per month

Mpyaa mpyaa mpyaaHapa kuna chumba master na jikoNyumba mpyaa wahi kuzinduaKod 130000 x6 Kimara mwish...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

300K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI KM 1KUTEMBEA KWA MIGUU NI ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000 per month

HIZI APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 23/03/2026#SEBULE KUBWA...