Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU
BEI NI 250,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 HAKUNA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI WAYA PARKING KUBWA
ANGALIZO
VYUMBA SIO VIKUBWA SANA
Contact 📲
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030