Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 450,000

500,000 (A)450,000(B)
SOMA KWA UMAKINI

NEW NEW APARTMENT FOR RENT ###500 /450 PER MONTH.
---------------------
APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA ZIMEBAKI APARTMENT 5 TU NDUGU MTEJA.

---------

ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.

USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 TU , KWA BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS TERMINAL.

------

SIFA ZAKE =

VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOMS
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LA KISASA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
MITA INAJITEGEMEA
REZEV SIMTANK
FULL PAVING
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA

----

HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO 👇

A ) GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI

B ) ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=
KWA MWEZI

----
Nb= HII KODI IMEJUMRISHWA PAMOJA NA HELA YA MAJI TAKA, USAFI NA ULINZI.

KODI NI MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.

KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=

------------
KARIBUNI WATEJA WETU ( KODI NI MIEZI SITA TU CHINI YA HAPO HAKUNA )

CONTACT US:-
0679 956 863

0759151524

DALALI SHAMTE      KIMARA  MBEZI_KIBAMBA
dalali_goba_kimara_mbezi_
DALALI SHAMTE KIMARA MBEZI_KIBAMBA

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIMARA STOP OVER DAKIKA 15 KWA MGUU KODI 250,000X6 CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA PEMBENI UMEME LUK...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT HII IPO KIMARA STOPOVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏛🏛🏛KALISANA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

# INAPANGISHWA(150K X 04/05/06)MASTER KUBWA SANA ------------------------------📌KIMARA MWISHO (Dsm)...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI DK6 KUTOKA LAMI -----#CHUMBA MASTER BEDR...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala hakuna mast...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. -----Vyumba 2 vya kulala kimoja ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA KM1 KUTOKA LAMI ------Vyumba 2 vya kulala hakuna masterSeble ku...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA .KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA .LOCATIO...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 7 TOKA MAIN ROAD BEI NI 250,000/=X6Sifa zake:-NI CHUMBA...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

#0742260844 #0657384670. NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISWA .KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

#0742260844_#0657484670.APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 550K INAYOPANGISHWA NI JUU GOROFANI ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BUCHA DK 7 TOKA MAIN ROAD BEI NI 250,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMBA K...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6🌟 INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMBA MASTER...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 550,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 550K INAYOPANGISHWA NI JUU GOROFANI ITAKUA WAZI KUANZIA TAR...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 7 TOKA MAIN ROAD BEI NI 250,000/=X6SIFA ZAKE NI CHUMBA ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA SUKAKODI 300,000 👈 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI x6INA VYUMBA VI...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HIZI NYUMBA ZIPO 3 TU KWENYE FENSI MOJA NDIO IPO WAZI MAFUNDI WAPO KAZINI KUNGALISHA IWE MPYA KABISA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 💥APARTMENT HII INA SIFA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 387,747

APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6🌟 INA SIFA ZIFUATAZO #CHUMBA MASTER...