Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 
#MADILISHA SHATA
๐ฅLUKU INAJITEGEMEA YENYEWE 
#ZIPO KWENYE FENSI NZURI 
#PARKING KUBWA
โผ๏ธMAJI NI NJE NDUGU MTEJA HAYATOKI NDANI
BEI NI 200,000/= X 6
________________________________________________________
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
DAKIKA 4 KWA MIGUU UPO KWENYE NYUMBA 
๐ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
________________________________________________________
 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================




















