Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA AU TEMBON KOTE SAW
TAYAR IKO WAZ
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko linafugwa kabati na Choo cha public ndan
===
Bei:400,000 Kwa mwezi × 6
==== pesa ya kulinda nyumba 200000
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
===
Apartment ya juu ndoitakuwa wazi, inajitegemea umeme na maji parking na fence ya uhakika
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347