Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Mtaa Wa Kishua
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: DAKIKA 2 KUTOKA MAIN ROAD
KODI 400,000 × 6
📍SEBULE KUBWA SANA
📍VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
📍VYUMBA VYOTE Ni MASTER
📍JIKO KUBWA ZURI
📍INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
📍MAJI YANAFLOW JIKONI Na VYOONI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍PARKING KUBWA
📍HAIPO KWENYE FENCE
📍USALAMA KAMA LUGALO
📍GOOD ENVIRONMENT 👍
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp