Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 ( DAKIKA 15 KWA MIGUU KUTOKA STEND )
SIFA ZAKE:
ZIPO MBILI TU NDANI YA FENCE
HII MOJA NDIO IPO WAZI
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA CHUMBA UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA 3
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 250,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 06 748 60193