Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA MPYAAAAA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KM2.5 KUTOKA BARABARA YA LAMI USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI DALADALA 500/=
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
VYOTE MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA MNO
NA KISEHEMU CHAKO CHA KUPIKIA
PUBLIC TOILET IPO NJEE
MAJI YANA FLOW CHOONI
UMEME LUKU YAKO MWENYEWE
TILES SAFI
GYPSUM BOARD
PAVING BLOCK SAFI
MAZINGILA MAZURI MNOO
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
PARKING SPACE HAKUNA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI 250,000/=X"3"
CONTACT'S US:0712656027
WHAT'SPP:0712656027