Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
APARTMENT NZURI NA KUBWA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
‼️ HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA SINKI ZURI LA KUOSHEA VYOMBO
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#MAFUNDI WAPO KAZINI UCK NA MCHANA NA IMEBAKIA VITU VIDOGO VIDOGO TUU
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/=X6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
📌📌 SERVICE CHARGE NI SHILINGI ELFU 15 TUU NA BILA KUSAHAU PESA YA MWEZI YA DALALI SHILINGI LAKI 3 KWA MWEZI
CONT
0683234124
0718367179