Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X10)KIMARA BARUTI DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI MPYA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#FULL AIR CONDITION
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA FRAME UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:
0716223412