Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA
O627977383