Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dakika 7-8 Kutembea toka Mwendokasi
#SIFAZAKE
Vyumba viwili vyakulala Kimoja Master, Sebule kubwa, Jiko kubwa, Public toilet
Umeme & Maji Inajitegemea
Fensi na Parking Ipo kubwa
Zipo Apartment 6 Hapa Moja ya Ghorofa ya kwanza iko wazi
Kodi Tsh 500,000/=×6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 500,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
Note. Pesa ya Taadhari Tsh 500,000/=(Inaurudishwa Ukiwa unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊