Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 400,000

🌟🌟APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 450,000/=X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 18/09/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

# VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR-CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#PARKING
#GARDEN
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA KATIKATI

BEI NI 450,000/= X 6

ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 5 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA TAHADHARI (CAUTION MONEY) JUMLA INAKUA MIEZI 6 NDUGU MTEJA

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

SIMU

+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49

MSHATI

dalali_mshati_kibamba_goba
dalali_mshati_kibamba_goba
dalali_mshati_kibamba_goba

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE #SEBULE KUBWA#VYUMBA 3 VYA KULALA#CHUMBA KIMOJA MA...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

*APARTMENT NZURI KABISA**INAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI*💥 *KODI YAKE 170K X 4//**ILIPWE LAKI MOJA NA...

Nyumba inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

APARTMENT KALI SANAIPO KIMARA TEMBONI UMBALIWA KILOMITA NA NUSU USAFILI UPO MWINGI BAJAJI MIA 700 BO...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

HII NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE #SEBULE KUBWA#VYUMBA 3 VYA KULALA#CHUMBA KIMOJA MA...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT 🔥 MPYA YA KISASA 🔥 INAPANGISHWA KIMARA SUKA BEI NI 450,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

APARTMENT 🔥 MPYA YA KISASA 🔥 INAPANGISHWA KIMARA SUKA BEI NI 450,000/= X 6🌟 APARTMENT HII INA SI...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT MPYAAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE KUBWA SANA INA PANGISHWA 200K LOCATION KIMARA SUKA UMBAL...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

GOROFA L I N A U Z W A TZS 170 MILIONI MAONGEZI YAPO LOCATION KIMARA B TEMBONI DAR ES SALAAM TZ GORO...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

GOROFA L I N A U Z W A TZS 170 MILIONI MAONGEZI YAPO LOCATION KIMARA B TEMBONI DAR ES SALAAM TZ GORO...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000 per month

MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO ======================*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA N...