Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(380,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO KIMARA MWISHO INAPANGISHWA BEI NI 380,000/= × 6
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU G𝗛OROFANI
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 380,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI 𝗨𝗡𝗔𝗜𝗡𝗚𝗜𝗔 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300