Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI WAHI #BEI 270K
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHOO CHA NDANI
#SEHEMU YA KUPIKIA
#HAKUNA MASTER 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI 
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
O677370515 
#BEI NI 270,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA




















