Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
💥APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI MATOSA MWISHO WA BAJAJI AU UNAWEZA UKAPITIA NJIA YA KIMARA MWISHO NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA NA NJIA ZOTE ZINA USAFIRI WA KUCHANGIA YAANI BAJAJI AU BODABODA
NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI WA MATOSA UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710🏠wahiii