Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Zipo 2 Kwenye Fence
KODI 450,000 × 6
Location: KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI NI DK 10 KUTEMBEA KWA MIGUU 🚶🚶
>SEBULE KUBWA SANA
>VYUMBA VIWILI VYA KULALA
>CHUMBA KIMOJA MASTER
>JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
>STORE KUBWA
>PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI 🚻
>TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
>NDANI YA FENCE
>PARKING SPACE KUBWA
>FULL GARDEN
>FULL PAVING BLOCKS
>UMEME LUKU YAKO
>MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
📌NYUMBA HII INAFANYIWA MAREKEBISHO UPYA KWA NDANI PAMOJA NA KURUDIWA RANGI KOTE 👍
📌CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 🏃♂️🏃♀️💰✍️
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp