Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
INAPANGISHWA KODI TSH 350,000X6
KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE
JIKO LINA MAKABATI
CHOO CHA PUBLIC
PARKING SPACE KUBWA SANA
LOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15
BODABODA 1000 HADI GETINI
BEI:LAKI 350K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258