Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


š¹šæ #APARTMENT #INAPANGISHWA
āāāāā
šKimara Bucha, Dar es Salaam
šDakika 5 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road
šHii Inakuwa Wazi Tar 25/09/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa
#SIFAZAKE
š¹Vyumba Viwili, Hakuna Master
š¹Sebule
š¹Jiko
š¹Public Toilet ya ndani
š¹Umeme & Maji #Inajitegemea
š¹Fence Iko Nusu lakini Usalama ni Mkubwa na Parking Space salama Ipo. Na Kuna Mlinzi Kabisaa
ā¦ļøKodi Tsh 350,000/=Ć6(Miezi Sita)
ā¦ļøMalipo ya Dalali Tsh 350,000/=
ā¦ļøService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu š
,
#0688573777. š&Whatsapp
,
#please #Follow usš
Karibu Sana Mtejaš