Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: KIMARA SUKA
Distance: Dakika 10 Kutoka Morogoro Road 🚶
𝗦𝗲𝗯𝘂𝗹𝗲 Kubwa
Vyumba VIWILI Vikubwa
Chumba Kimoja Master
Kitchen With Cabinets
Public Toilet Inside 🚻
Umeme Na Maji Independent
Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
Reserve TANK
𝗣𝗮𝗿𝗸𝗶𝗻𝗴 Space Available 🚗
Good Environment 💥
PRICE: 400,000 × 6
Itakuwa Wazi 15/10/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp