Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 400,000\/=
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
#INAPINGISHWA NI YA CHINI
BEI NI 400,000\/=×6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453