Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA HIZO 2 ZIKO WAZI BEI TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
(1) MASTER BERD ROOM KUBWA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI KIKUBWA
#BEI NI 120,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3 TU
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#(2) MASTER BEDROOM WASTANI
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3 TU
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
KUONYESHWA SITE 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258