Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Stop Over, Dakika 3 Kutembea Toka main road.
#SIFAZAKE
Hii ina Vyumba viwili vyakulala, Chumba Kimoja Master, Sebule, Jiko & Choo cha familia
Umeme & Maji Inajitegemea Meter zake
Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Kodi Tsh 350,000/=×6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 350,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊