Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 400,000 × 6
Location: KIMARA TEMBONI
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#PARKING SPACE AVAILABLE
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp