Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BUCHA DK 8 TOKA MAIN ROAD.
KODI NI 400,000ร6
SEBULE KUBWA, VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTA, CHOO CHA PUPLIC NDANI NA JIKO..
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO YANATOKA NDAN.
NDANI Y FENC
ZIPO APARTMENT 4 NDANI Y COMPOUND 1
NB: ITAKUWA WAZI TAR: 1.11.2025. KUONA KULIPA RUKSA IWAPO MPANGAJI ALIOP TUTAMKUTA
CONTACT
0742260844
0657384670