Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1 TU ( DAKIKA 15 KWA MIGUU)
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO LA CHUMBA UNAWEZA KUFANYA CHUMBA CHA TATU
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME LUKU YAKE
MAJI YA BILI DAWASA
KODI 250,000 X 6 TU
BARABARA NZURI YA RAMI KUINGIA NDANI MPAKA NYUMBANI
USAFIRI WA BAJAJI 500 MPAKA NYUMBANI
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA CM 06 748 60193