Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE KILUNGULE
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Full a/c
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 1,000,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
DIPOZITI MILION MOJA
USAFIRI BAJAJI 500 DALADALA 500 ZA KALIAKOO ZIPO
UKISHUKA TU DK 2 UPO GETINI
Service charge 20,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.