Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT 
LOCATION 
KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD 
USAFIRI BAJAJ DALALALA UPO 
KODI NI 330,000/=X3 
SIFA ZAKE 
VYUMBA 2 HAKUNA MASTER 
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA 
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA 
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
 MAJI SAFI DAWASA YANAFLOW
FENSI NA PARKING NI KUBWA 
.
Contact ๐ฒ 
0715949085
0782838336



















