Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
FULL FURNITURE CLASSIC APARTMENT FOR RENT 1,200,000/= TSH PER MONTH APARTMENT HII NZURI YENYE KILA KITU NDANI INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER\n#SEBULE #JIKO ZURI
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION\n#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA\n
#PARKING #CCTV CAMERA\n#ELECTRIC FENCE
BEI NI 1,200,000/= X 3
๐๏ธ LOCATION:- NI KIMARA TEMBONI UPANDE KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU (FEW METER'S FROM MAINE ROAD) NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA NDUGU MTEJA
PIA HUDUMA YA MALAZI KWA SIKU IPO AMBAYO GARAMA YAKE NI SHILINGI LAKI MOJA KWA SIKU (100,000\/= TSH PER DAY)
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
What saapp Number 0689-547258