Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(270,000 × 6) KIMARA MWISHO
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 4 KUTOKA MOROGORO ROAD
---------
ZIPO APARTMENTS 2 KWENYE COMPOUND MOJA NA MOJA NDIO INAPANGISHWA
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
RESERVE SIM TANK
MADIRISHA VIOO SHATA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA YAKO
NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
----
KODI NI LAKI 270,000 /=
KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300