Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(350,000X6)KIMARA TEMBONI 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD, PIKIPIKI ELF MOJA
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000\\\/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 01\\\/12\\\/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000\\\/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453