Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#GARDEN
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI,TAX AU DALADALA AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413🔥🔥