Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
๐๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
#PARKING
#PAVING
BEI NI 420,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA 20 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NAMAANISHA KWA KUTEMBEA KWA MIGUU
๐ ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO INAPANGISHWA
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37