Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
(450,000X6)KIMARA SUKA DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA JIRANI NA BARABARA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LINAFUNGWA MAKABATI YA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME ULINZI NI WA UHAKIKA
#PARKING
#MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA KAZI KWA KASI YA 5G
ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
BEI NI 450,000\/= X 6
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01\/10\/2024
0716223412
0683597453