Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI  ZINAPANGISHWA ITAKUWA WAZI TAR. 30.9.2025 
 
LOCATION KIMARA KOROGWE
KODI 400,000X6 
UMBALI DAKIKA 6-8 KWA MIGUU 
APARTMENT ZIPO 2 KWENYE COMPAUND MOJA 
VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA VYOTE NI MASTER, JIKO LAKE KUBWA TOILET PUBLIC YA NNJE 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANATILILIKA NDAN 
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
 KUONA NA KULIPIA LUKSA 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KARIBUNI
#0785889413




















