Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
BEI NI 45000K X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
======