Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
IPO DK 13 KWA KUTEMBEA AU BODA BUKU
MUUNDO WAKE
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER INA SEBULE INA JIKO KUBWA NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
NDANI YA FENSI NA PARKING IPO
FULL PAVING BLOCKS
KODI 350,000 × 6
KUONA NYUMBA ELFU 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300