Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗠𝗪𝗜𝗦𝗛𝗢
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO NNE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= × 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
🌀#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🌀#MAJI DAWASA MITA YAKO NA SIMTANK LAKO
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA
💰BEI NI 300,000/= × 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300