Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Zipo 4 Kwenye Eneo Moja
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 300,000 ร 6
๐SEBULE KUBWA
๐VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
๐CHUMBA KIMOJA MASTER
๐JIKO KUBWA ZURI
๐PUBLIC TOILET NZURI ๐ป
๐INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
๐MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
๐GOOD ENVIRONMENT ๐
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp