Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Temboni, Dar es Salaam
🕑Dakika 15 Kutembea Kutoka Morogoro Main Road, Boda Boda 1000.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko & Store
🔹Public Toilet
🔹Umeme LUKU Yake, Maji yanaflow ndani
🔹Balcony
🔹Fence, Garden & Parking Kubwa
👉Ya juu hapa Iko wazi
♦️Kodi Tsh 500,000/=×6(Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 500,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊