Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO & KIMARA STOPOVER ZOTE NJIA UMBALI WA KM 2 BAJAJI 1000 BODA 1000
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET KALI
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
TILES SAFI
SLIDE WINDOW
MAZINGILA MAZURI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA ITAKUWA WAZITA /20/WEZI /3/20/25 KUONA NAKULIPIA INAWEZEKANA WAHI
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 300,000/=×6
SERVER CHARGE NI 15,000
###0655256419