Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ๐ฅ MPYA YA KISASA ๐ฅ INAPANGISHWA KIMARA SUKA BEI NI 450,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LINAFUNGWA MAKABATI YA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME ULINZI NI WA UHAKIKA
#PARKING
#MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA KAZI KWA KASI YA 5G
BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/10/2024
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA JIRANI NA BARABARA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐๐ NYUMBA HII ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/10/2024 NDUGU MTEJA
#0785889413๐๐๐๐ก๐ _๐ด๐๐๐ฒ๐ฒ
#0785889413
#0785889413