Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ PIKPIKI UPO
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA WASTANI
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE
NYUMBA INAFANYA MAAJABU
GYPSUM ALUMINUM BOMBA
ZINGATIA
ITAKUWA TAYARI TAREHE 01/02
Contact ๐ฒ
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030